Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu  akimuuaga PC Prosper Yenda yenda  wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi ( S.F.U)  ambaye ni miongoni mwa askari 14 wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu  akiwa katika picha ya pamoja na askari 14  wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi (S.F.U)  ambao wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu.