Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu, akiwa ameambatana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Geita wakati alipofanya ziara ya kukagua miundombinu ya vituo vya polisi mkoani humo. Kushoto ni mkuu wa mkoa wa Geita, Meja Jenerali (Mst) Ezekiel E. Kyunga.

 

Picha za matukio ya ziara ya Mkuu wa Jeshi la Polisi katika mkoa wa Geita.

Mkuu wa mkoa wa Geita, Maj. Gen (mst) Ezekiel Kyuga ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo akitoa taarifa ya hali ya ulinzi na usalama  ya mkoa kwa Inspekta Jenerali wa Polisi( IGP) Ernest Mangu.