Umoja wa mataifa umetangaza nafasi za kazi kwa nchi zote wanachama wa umoja wa mataifa , maofisa wenye sifa wanatakiwa kujaza fomu za "EMPLOYMENT and ACADEMIC CERTIFICATION FORM " na kuzituma makao makuu  kitengo cha uhusiano wa kimamaifa kupitia barua pepe Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.,  nafasi hizo ni :-

(A) UNAMISS

  (i) PoC SITE CORDINATOR, P - 4

  (ii) COMMUNITY POLICY ADVISOR  P-4

(B) BRINDISI ITALY

(i) Public Order Adviser, P-4

(ii) Transnational Organised Crime Officer, P- 3

(iii) Investigations Adviser, P- 4 

(iv) Logistics Advise,r P- 4

(v)  Police Personel Management Officer, P- 3 

( vi) Police Reform Adviser, P - 4

kwa maelekezo zaidi bofya hapa

1.Batch 0291

 

2. Batch0292

3. batch0293

 FOMU :- Employment_and_Academic_Certification_Form