Umoja wa mataifa kupitia idara ya ulinzi wa amani makao makuu ya umoja wa mataifa New York imetangaza nafasi za ajira kama ifuatavyo
1. Senior liaison officer, chief mission management and support section P5 ( KAMISHNA)
2. Crime information analysis officer , police selection and recruitment officer p4 ( SP & SSP)
3. Police planning officer na selection and recruitment officer P3 ( ASP)
Mwisho wa kuwasilisha maombi ni Aprili 23,2018.

 

                     un logo

Bonyeza kiunganishi hapo chini kupata taarifa za nafasi hizo na namna ya kuomba.

  1. Tangazo La Ajira Un
  2. Military Police Campaign - CB Interview
  3. Military Police Campaign Candidates Submission
  4. Military Police Campaign -General